Chama hicho kimedai kwamba baadhi ya wagombea wake walishindwa kurejesha fomu kutokana na kufanyiwa hujuma na baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi huo kufunga ofisi licha ya kuwa ndani ya muda. Kwa mujibu ...
Kauli hiyo ya Lissu imekuja ikiwa ni siku chache tangu Katibu wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), Amos Makalla, atamke kwamba kiongozi huyo mkuu ndani ya CHADEMA hakujiandikisha ...
Kuna watu tuliwaaminisha tunaamini katika haki, wakaenda kwenye maandamano mbele, wameuawa kwa sababu tuliwaambia twendeni, kama tukiishi maisha ya kukosa uadilifu ndani yetu, laana ya zile damu tujue ...
"Lakini kilichotokea ni kinyume na matarajio ya Khamenei na washauri wake mjini Tehran, ambao wote walipuuza jukumu la washirika wa Israel kutoka ndani ya eneo hilo au nje ya eneo hilo," kwa ...
dhidi ya Bravos do Maquis ya Angola kwenye mchezo wa... KAIMU Kocha Mkuu wa Singida Black Stars, Ramadhan Nswanzurimo ameanza vibaya majukumu yake ndani ya kikosi hicho baada ya timu hiyo kupoteza kwa ...
Iliripoti "usafirishaji haramu kutoka Senegal hadi EU". Ilisema ilimpa Dakar fursa "ya kukabiliana na kurekebisha hali hiyo ndani ya muda mwafaka". Uvuvi ni sekta muhimu nchini Senegali ...
Asilimia 26 ya vitendo hivi vilishuhudiwa ndani ya siku 10 ya kampeni, huku asilimia 20 ya vitendo vya rushwa vikiripotiwa kwa waangalizi hao. Ofisi za vyama vya upinzani, zimeteketezwa moto ...
Hayo yamebainika wakati wa operesheni iliyofanyika katika kipindi cha Oktoba na Novemba, 2024 iliyowezesha kukamatwa kilo 687.32 za skanka na kilo moja ya hashishi katika eneo la Goba jijini Dar es ...
9 Novemba 2024 Wahandisi wamepata chupa yenye ujumbe wa miaka 132 ndani kabisa ya kuta za mnara wa taa unaofahamika kama Corsewall Lighthouse kusini mwa Uskochi. Chupa hiyo ilipatikana ndani ya ...
Mafuriko ambayo hayajawahi kukumba Hispania, dhoruba kali Florida, na mioto ya nyika huko Amerika Kusini. Haya ni baadhi tu ya mifano ya matukio ya kupitiliza ya hali ya hewa yanayozidi kutokea kila ...
Uganda na Burundi ni miongoni mwa nchi zaidi ya 100 duniani zilizochukua hatua ya kihistoria kuahidi kumaliza ukatili dhidi ya watoto, ikiwemo kupiga marufuku adhabu ya viboko, suala linaloathiri ...
Kwa mujibu wa Rusimbi, uzoefu huo si ndani ya taasisi pekee, bali pia nje ya ofisi hususan alipokuwa anakutana na mwanaharakati maarufu wa masuala ya jinsia na maendeleo, Profesa Marjorie Mbilinyi.