Chama hicho kimedai kwamba baadhi ya wagombea wake walishindwa kurejesha fomu kutokana na kufanyiwa hujuma na baadhi ya wasimamizi wa uchaguzi huo kufunga ofisi licha ya kuwa ndani ya muda. Kwa mujibu ...
Iliripoti "usafirishaji haramu kutoka Senegal hadi EU". Ilisema ilimpa Dakar fursa "ya kukabiliana na kurekebisha hali hiyo ndani ya muda mwafaka". Uvuvi ni sekta muhimu nchini Senegali ...
Asilimia 26 ya vitendo hivi vilishuhudiwa ndani ya siku 10 ya kampeni, huku asilimia 20 ya vitendo vya rushwa vikiripotiwa kwa waangalizi hao. Ofisi za vyama vya upinzani, zimeteketezwa moto ...
Mabosi wa Yanga walikubaliana juu ya uamuzi huo wakijadili mambo matano mazito ambayo wameyaona msimu huu ambao ni wa pili wa kocha huyo aliyewapa mataji matatu ndani ya misimu miwili. Mabosi wa Yanga ...
Akihutubia Bunge Novemba Mosi, 2024, Waziri wa Fedha, Dk Mwigulu Nchemba alisema hadi kufikia Juni mwaka huu, deni la serikali lilifikia Sh96.88 trilioni na deni la nje lilikuwa Sh64.93 trilioni na la ...
Kwa mujibu wa Rusimbi, uzoefu huo si ndani ya taasisi pekee, bali pia nje ya ofisi hususan alipokuwa anakutana na mwanaharakati maarufu wa masuala ya jinsia na maendeleo, Profesa Marjorie Mbilinyi.
Mwonekano wa jengo lenye Ofisi ya Serikali ya Mtaa wa Bujimile Kata ya Nyamhongolo iliyopo katika Manispaa ya Ilemela mkoani Mwanza huku jiwe la msingi la Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM ...
MAHAKAMA Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imetupilia mbali kesi ya madai ya fidia ya Sh1 bilioni iliyofunguliwa na kiungo wa Yanga, Jonas Mkude dhidi ya kampuni ya Mohamed Enterprises (Tanzania) ...
Ziara hiyo imejumuisha wajumbe wa Kamati tajwa pamoja na watumishi wa Idara ya Usalama na Afya Kazini iliyopo ndani ya Ofisi ya Rais-Kazi, Uchumi na Uwekezaji-Zanzibar. Ujumbe huo ulifika Ofisi za ...
linapotumiwa, ni ndani ya muktadha wa azma yake ya kutambuliwa na jumuiya ya kimataifa, ikiwa ni pamoja na Marekani, kama mtawala rasmi wa Afghanistan. Kwa pamoja maneno 'Jihad' na 'Mujahedeen ...
Watu watatu wakuu katika wizara ya mambo ya ndani ya Ukraine wameuawa katika ajali ... zaidi wa Ukraine tangu vita kuanza. Naibu mkuu wa ofisi ya rais wa Ukraine, Kyrylo Tymoshenko, alisema ...
Zingatia Malipo yote yanafanyika kwa njia za kielektroniki baada ya kupokea kumbukumbu namba ya malipo. Tangazo litachapishwa ndani ya saa 24 baada ya malipo kupokelewa. Unapotuma tangazo hakikisha ...