Makonda alitaka zitoke kwa sababu ni za msaada kwa ajili ya walimu. Mpango alisisitiza lazima zilipiwe kodi. Makonda alisema, CMG ilikuwa familia yake na alikwenda kusimamia uhariri wa kazi zake.
Zaidi ya watu 20,000 wamekimbia makazi yao katika mji mkuu wa Haiti Port-au-Prince katika muda wa siku nne tu, ikiwa ni pamoja na watu wengine zaidi ya 17,000 wanaohifadhiwa katika makazi 15 ya ...
Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa chama hicho dhidi ya kinachoendelea katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na ...
Wakimbizi hawajafanikiwa kurejea katika majumba yao na wimbi jipya la machafuko na uhamaji umeongeza shinikizo na hivyo kuiongeza idadi ya wakimbizi wa ndani. Waangalizi wa kimataifa wamesema ...
Rais wa Marekani Joe Biden ametoa ruhusa kwa Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu yaliyotolewa na Marekani kuishambulia Urusi. Afisa mmoja wa Marekani ameithibitishia CBS kuhusu ruhusa hiyo ...
Uamuzi wa Rais Biden wa kuiruhusu Ukraine kushambulia ndani ya Urusi ... hali isiyo ya kawaida. Katika muda wa miezi miwili, Rais Biden atakuwa nje ya ofisi na Donald Trump atakuwa katika Ikulu ...
Mondi anahitaji mpishi na daktari. Kaa hiyo usiipoweza kushika maiki utashika kalamu. Unaweza kuwa mwanasheria wao. Meneja wao wa biashara na masoko kuna kazi nyingi ndani ya muziki bila kushika maiki ...
"Tulitembea kwa siku mbili tukifika hapa tukiwa na huzuni kwa kupoteza wapendwa wetu lakini tukifurahi kupata usalama,” ni kauli ya Odette, mkimbizi wa ndani huyu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya ...
Asilimia 26 ya vitendo hivi vilishuhudiwa ndani ya siku 10 ya kampeni, huku asilimia 20 ya vitendo vya rushwa vikiripotiwa kwa waangalizi hao. Ofisi za vyama vya upinzani, zimeteketezwa moto ...
Milioni 35 ni jumla ya idadi ya wakimbizi wa ndani barani Afrika. Hii ni mara tatu zaidi ya miaka 15 iliyopita kulingana na Observatory of Internal Displacement Situations (IDMC). Sababu ...
Taarifa ya ofisi ya rais imesema kuwa kiasi ya wafungwa 4,000 kati ya 5,442 waliopewa msamaha tayari wamesharejea kwa familia zao. Lakini kiongozi wa shirika la haki za binaadamu nchini humo ...