Makonda alitaka zitoke kwa sababu ni za msaada kwa ajili ya walimu. Mpango alisisitiza lazima zilipiwe kodi. Makonda alisema, CMG ilikuwa familia yake na alikwenda kusimamia uhariri wa kazi zake.
Mbowe aliyasema hayo jana mkoani Dar es Salaam alipozungumza na waandishi wa habari kuhusu msimamo wa chama hicho dhidi ya kinachoendelea katika mchakato wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na ...
Wakimbizi hawajafanikiwa kurejea katika majumba yao na wimbi jipya la machafuko na uhamaji umeongeza shinikizo na hivyo kuiongeza idadi ya wakimbizi wa ndani. Waangalizi wa kimataifa wamesema ...
Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Mohamed ...
Matukio ya uchomaji moto usiku pia yamelenga ofisi za Frelimo huko Machava ... pamoja na vikosi vya jeshi la ndani na la Rwanda, na idadi ya majeruhi inayodaiwa kuwa zaidi ya 50.
Visa 97 vya mauaji ya wanawake vimeripotiwa ndani ya miezi mitatu nchini Kenya huku visa vya wanawake wanaofika hospitalini kupata matibabu baada ya kudhulumiwa vikiongezeka hadi 4000. Hali ni ...
Milioni 35 ni jumla ya idadi ya wakimbizi wa ndani barani Afrika. Hii ni mara tatu zaidi ya miaka 15 iliyopita kulingana na Observatory of Internal Displacement Situations (IDMC). Sababu ...
Taarifa ya ofisi ya rais imesema kuwa kiasi ya wafungwa 4,000 kati ya 5,442 waliopewa msamaha tayari wamesharejea kwa familia zao. Lakini kiongozi wa shirika la haki za binaadamu nchini humo ...
kulingana na taarifa ya ofisi ya rais kwa vyombo vya habari. Timu ya kiufundi ya G7 kuhusu almasi, chini ya uenyekiti wa Umoja wa Ulaya, imebaini kwamba iko pia "katika majadiliano na nchi ...
Na Esther Mnyika, Mtanzania Digital Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeeleza kuwa ushindi wake katika uchaguzi wa serikali za mitaa ni dhihirisho la imani ya Watanzania ...
Ripoti ya pamoja ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Haki za Binadamu (OHCHR) na Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Afghanistan (UNAMA) iliyotolewa leo Geneva, Uswisi, inaonesha mazingira yanayozidi ...