Maelezo ya picha, Maandamano yanaendelea baada ya mazungumzo yaliyopangwa kumaliza machafuko nchini Msumbiji kutibuka. Msumbiji imekumbwa na maandamano mabaya ya wiki kadhaa kuhusu uchaguzi wa ...
Hezbollah ilithibitisha "kupata ushindi" dhidi ya Israel, ambayo iliitaja kuwa "adui wa kufikirika", kwa zaidi ya miezi 13, baada ya usitishaji mapigano kuanza kutekelezwa na maelfu ya watu ...
Maofisa wa Jeshi la Wananchi wakiingiza mwili wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu, Jenerali David Musuguri kaburini wakati wa mazishi yaliyofanyika kijijini Butiama, Mkoa wa Mara. Butiama. David ...
Dar es Salaam. Yapo mengi yanayoweza kuandikwa ama kusimuliwa kumhusu Jaji mstaafu wa Mahakama ya Rufani, Kipenka Mussa hususani katika utumishi wake wa umma. Jaji Kipenka ambaye alizaliwa Desemba 28, ...