Asubuhi na mapema katika hifadhi ya Maasai Mara ya Kenya - nyumbu wakila kwa utulivu, ndege wanajazana kwenye matawi ya mti wa acacia na pundamilia wengine wakitembeatembea karibu - ghafla simu ya ...
Masai na Simba wamekuwa wakiishi pamoja kwa karne ... Saitoti alikamatwa na kufungwa huku akipigwa faini ya kulipa 70,000 fedha za kenya (sawa na £465); Ingawa sheria ya uwindaji haramu wa ...