Klabu ya Enyimba ya Nigeria imekuwa timu ya kwanza kufuzu hatua ya nusu fainali ya Ligi ya Ubingwa wa Afrika baada ya kuilaza Al Hilal ya Sudan mabao 2-1 katika mchezo wa kusisimu siku ya Ijumaa.